Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-Friday Saa (kwa saa za huku): 06:00 UTC saa ya kimataifa 0300 Muda: 30 Sikiliza: Podcast
…
continue reading
1
Trump apatikana na hatia ya makosa 34 katika kesi yake ya kwanza ya jinai - Mei 31, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Av VOA
…
continue reading
1
Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi nchini Afrika Kusini linaendelea - Mei 30, 2024
29:58
29:58
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:58
Av VOA
…
continue reading
1
Blinken na mkuu wa jeshi la Sudan wajadili haja ya kumaliza vita nchini Sudan - Mei 29, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Mbunge wa zamani kutoka Beni aliomba jeshi la Uganda na jeshi la Congo kubadili mbinu katika vita vyao dhidi ya waasi wa ADF - Mei 28, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Mchambuzi aeleza sababu ya mapigano kupamba moto katika mji mkuu wa jimbo la Darfur wa El-Fasher - Mei 27, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Av VOA
…
continue reading
1
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza nia yake ya kuiteua nchi ya Kenya kuwa mshirika mkubwa wa Marekani ambaye sio mwanachama wa NATO - Mei 24, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Av VOA
…
continue reading
1
Rais Biden amekutana White House na Rais Ruto wa Kenya kwa ziara ya kitaifa wakati Kenya ikijiandaa kupeleka askari wake 1,000 huko Haiti. - Mei 23, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Av VOA
…
continue reading
1
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniel akuatana ana kwa ana na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump - Mei 22, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels alikutana ana kwa ana na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne, akiwaambia majaji katika kesi yake ya New York kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi naye mwaka 2006 na alilipwa dola 130,000 ili kukaa kimya.Av VOA
…
continue reading
1
Sintofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano - Mei 21, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
intofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapiganoAv VOA
…
continue reading
1
Serikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro - Mei 20, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Serikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa KilimanjaroAv VOA
…
continue reading
1
Maelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya - Mei 17, 2024
29:57
29:57
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:57
Maelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabayaAv VOA
…
continue reading
1
Mdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani - Mei 16, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Mdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya MarekaniAv VOA
…
continue reading
1
Ikulu ya Marekani yatoa sababu za kumwalika Rais wa Kenya William Ruto - Mei 15, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Ikulu ya Marekani yatoa sababu za kumwalika Rais wa Kenya William RutoAv VOA
…
continue reading
1
Rais Biden ametoa amri ya kuzuia kampuni ya madini ya Cryptocurrenvy inayoungwa mkono na China kumiliki ardhi huko Wyoming. - Mei 14, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Av VOA
…
continue reading
1
Misri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel - Mei 13, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Misri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya IsraelAv VOA
…
continue reading
1
Mazungumzo ya amani na maridhiano ya Sudan Kusini yaanza mjini Nairobi, kenya - Mei 10, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Vikao vya mazungumzo ya amani nchini Sudan Kusini vinatarajiwa kuanza Rasmi hii leo mjini Nairobi, nchini Kenya.Av VOA
…
continue reading
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Av VOA
…
continue reading
1
Mafuriko nchini Burundi yasababisha uharibifu mkubwa wa mali - Mei 08, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Serikali za nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zatoa tahadhari kwa raia, kufuatia mvua kuba zinazoendelea, zilizosababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.Av VOA
…
continue reading
1
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria - Mei 07, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheriaAv VOA
…
continue reading
1
Idadi ya watu waliopoteza maisha DRC kufuatia shambulizi lililolenga kambi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka. - Mei 06, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Idadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.Av VOA
…
continue reading
1
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi - Mei 03, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengiAv VOA
…
continue reading
1
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya
- Mei 02, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini KenyaAv VOA
…
continue reading
1
Uingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda - Mei 01, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Uingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda .Av VOA
…
continue reading
1
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki - Aprili 30, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharukiAv VOA
…
continue reading
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Av VOA
…
continue reading
1
Serikali ya Kenya yaanza juhudi mahsusi zikijumuisha idara na mashairika kadhaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoendelea - Aprili 26, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Jeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifoAv VOA
…
continue reading
1
Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.Av VOA
…
continue reading
1
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini TanzaniaAv VOA
…
continue reading
1
Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.Av VOA
…
continue reading
1
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New YorkAv VOA
…
continue reading
1
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa MarekaniAv VOA
…
continue reading
1
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar - Aprili 18, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani ZanzibarAv VOA
…
continue reading
1
Watalaam wa hali ya hewa watoa sababu ya mvua kubwa Tanzania - Aprili 17, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Watalaam wa hali ya hewa watoa asababu ya mvua kubwa TanzaniaAv VOA
…
continue reading
1
Jeshi la Afrika Kusini laongeza muda wa kutumwa kwa wanajeshi wake Msumbiji na DRC - Aprili 16, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Jeshi la Afrika Kusini laongeza muda wa kutumwa kwa wanajeshi wake Msumbiji na DRC.Av VOA
…
continue reading
1
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai - Aprili 15, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinaiAv VOA
…
continue reading
1
Kwa nini kifo cha OJ Simpson kimeibua mjadala kuhusu mahusiano ya rangi Marekani? - Aprili 12, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.Av VOA
…
continue reading
1
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama - Aprili 11, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalamaAv VOA
…
continue reading
1
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21 - Aprili 10, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21Av VOA
…
continue reading
1
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo - Aprili 09, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.Av VOA
…
continue reading
1
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.Av VOA
…
continue reading
1
Israel yafungua njia zaidi za misaada kwa Wapalestina muda mfupi baada ya mazungumzo ya simu kati ya Biden na Netanyahu - Aprili 05, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Zimbabwe yaomba msaada wa dola bilioni 2 kukabiliana na uhaba wa chakula - Aprili 04, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Rais mpya wa Senegal Faye amteua mshirika wake Ousmane Sonko kama waziri mkuu - Aprili 03, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Wanajeshi wa Afrika Kusini waliopelekwa DRC walalamika kuwa hawana vifaa vya kutosha - Aprili 02, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Av VOA
…
continue reading
1
Makazi ya waziri mkuu wa Libya yashambuliwa kwa guruneti - Aprili 01, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Av VOA
…
continue reading
1
Jumuiya ya SADC 'yasikitishwa' na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC - Machi 29, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Jumuiya ya SADC yasikitishwa na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRCAv VOA
…
continue reading
1
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore - Machi 28, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli BaltimoreAv VOA
…
continue reading
1
Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.Av VOA
…
continue reading
1
Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024
29:59
29:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
29:59
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.Av VOA
…
continue reading
1
Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024
30:00
30:00
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt
30:00
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza.Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.Av VOA
…
continue reading