Player FM - Internet Radio Done Right
15 subscribers
Checked 2M ago
Lagt til nine år siden
Innhold levert av France Médias Monde and RFI Kiswahili. Alt podcastinnhold, inkludert episoder, grafikk og podcastbeskrivelser, lastes opp og leveres direkte av France Médias Monde and RFI Kiswahili eller deres podcastplattformpartner. Hvis du tror at noen bruker det opphavsrettsbeskyttede verket ditt uten din tillatelse, kan du følge prosessen skissert her https://no.player.fm/legal.
Player FM - Podcast-app
Gå frakoblet med Player FM -appen!
Gå frakoblet med Player FM -appen!
Podcaster verdt å lytte til
SPONSET
<
<div class="span index">1</div> <span><a class="" data-remote="true" data-type="html" href="/series/silver-linings-with-the-old-gays">Silver Linings with The Old Gays</a></span>


Brace yourself for The Old Gays! Join Robert Reeves, Jessay Martin, Bill Lyons, and Michael "Mick" Peterson on a wild ride reflecting on the many chapters of their fabulous lives. Laugh and learn as the viral sensations spill on everything from steamy romances and sexy stories to the bonds of chosen family and queer culture. Explore the underground nightlife of the 1970s and today's evolving LGBTQ+ community through the eyes of The Old Gays. With over 300 years of combined wisdom, indulge in the raunchy reflections and personal silver linings. New episodes every other week, where the laughs are as big as the personalities!
Afrika Ya Mashariki
Merk alt (u)spilt...
Manage series 1072613
Innhold levert av France Médias Monde and RFI Kiswahili. Alt podcastinnhold, inkludert episoder, grafikk og podcastbeskrivelser, lastes opp og leveres direkte av France Médias Monde and RFI Kiswahili eller deres podcastplattformpartner. Hvis du tror at noen bruker det opphavsrettsbeskyttede verket ditt uten din tillatelse, kan du følge prosessen skissert her https://no.player.fm/legal.
…
continue reading
24 episoder
Merk alt (u)spilt...
Manage series 1072613
Innhold levert av France Médias Monde and RFI Kiswahili. Alt podcastinnhold, inkludert episoder, grafikk og podcastbeskrivelser, lastes opp og leveres direkte av France Médias Monde and RFI Kiswahili eller deres podcastplattformpartner. Hvis du tror at noen bruker det opphavsrettsbeskyttede verket ditt uten din tillatelse, kan du følge prosessen skissert her https://no.player.fm/legal.
…
continue reading
24 episoder
Alle episoder
×
1 Kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika 9:58
9:58
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:58
Karibu katika ya Afrika mashariki hii leo macho na masikio ya Makala haya yanatazama kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika tukienega katika Mkutano wa Kimataifa wa AI kuhusu Afrika 2025, unaofanyika Kigali nchini Rwanda Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe soote hadi tamati…

1 Je una ufahamu juu ya ulinzi wa taarifa binafsi ? 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Kasi ya ugunduzi na uvumbuzi katika maswala ya sayansi na teknolojia na ujio wa Internet sanjali na matumzi ya mitandao ya kijamii yanafanya wajamii kuwa katika hatari kumbwa kupoteza usiri wa taarifa zao. Baada ya mabadiliko makubwa ya teknolojia yamesababisha taarifa za watu kuwa ni moja ya mtaji mkubwa kwa watu wengine na makampuni makubwa Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika mashariki imekutunga sheria rasmi ya kulinda haki kulindiwa taarifa binafsi Lakini sio kulinda tu taarifa binafsi lakini pia kuhakikisha taarifa hizo zinamfaidisha moja Kwa moja mlengwa wa taarifa endapo zinatakiwa kutumiwa Kwa matumizi fulani. Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika kwa namna gani wakazi wa Afrika mashariki wanauelewa juu ya ulinzi wa taarifa binafsi sanjali na juhudi za mataifa katika kulinda maswala hayo Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe hadi tamati…

1 Tatizo la kifua kikuu (TB) katika mataifa ya Afrika Mashariki 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, kama vile vituo vya mabasi, masoko, na hata sehemu za kazi kama waendesha bodaboda wanavyojihusisha. Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bodaboda wanaweza kuchukua tahadhari ya kupambana na maambukizi ya kifua kikuu Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati.…

1 Tanzania: Namna wakaazi wa vijijini wanafikiwa na huduma za maji 9:50
9:50
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:50
Namna wakazi wa maeneo ya vijijini wanafikiwa na huduma za maji nchini Tanzania.

1 Athari za mgogoro wa DRC katika mataifa ya Afrika 9:42
9:42
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:42
Mgogoro wa Mashariki ya DRC umeendelea kwa miongo kadhaa, na bado ni moja ya changamoto kubwa za kiusalama na kisiasa Barani Afrika. Katika Mashariki ya DRC , kuna makundi ya waasi kama vile M23 , ADF , Twirwaneho, ambayo yameongeza umwagaji damu na kusababisha maelfu ya watu kuhama kutoka maeneo yao. Siasa za kikanda, ushindani wa madaraka kati ya mataifa kama Rwanda yana iweka DRC njia panda kila uchao Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii tunangaza mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kibinadamu, hasa katika majimbo ya mashariki ya Ituri, Kivu Kaskazini, Kivu Kusini na Tanganyika, kutokana na migogoro ya silaha na mapigano baina ya jamii. Mnamo Septemba 2024, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji ( IOM )…

1 Umuhimu wa kutunza lugha mama katika jamii za Afrika 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati ya Makala haya. Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maarifa hupitishwa na tamaduni kuhifadhiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyo chapishwa katika tovuti ya Umoja wa mataifa inaeleza kukiwa na takriban lugha 8,324 duniani leo, nyingi ziko hatarini kutoweka kutokana na utandawazi na mabadiliko ya jamii. Kuhakikisha kwamba mifumo ya elimu inaunga mkono haki ya mtu ya kujifunza katika lugha-mama ni muhimu sana katika kuboresha matokeo ya kujifunza, kwani wanafunzi wanaofundishwa kwa lugha wanayoelewa kikamilifu huonyesha ufahamu bora, ushirikishwaji, na ustadi wa kufikiri kwa kina.…

1 Namna wakazi wanaoishi karibu na migodi wanaweza kufaidika na shughuli hizo 9:44
9:44
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:44
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua, na kukua huku ni kutokana na ongezeko la asilimia 7.3 kwa mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 9. Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania imechukua hatua muhimu ya kuhakikisha kwamba wawekezaji wakubwa na wadogo kwenye Sekta ya Madini wanaendesha shughuli zao kwa tija kwa kuwezesha mazingira wezeshi ya uwekezaji na upatikanaji teknolojia unaimarika, hii ni pamoja na kuendelea kuboresha miundombinu mbalimbali ambayo serikali imeamua kuimarisha kwa lengo la kuvutia uwekezaji na kuwezesha uwekezaji huo kuleta faida kwa kila mwekezaji.…

1 Tanzania: Changamoto wanazokabiliwa nazo watu wenye Albinism mjini Mwanza 9:33
9:33
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:33
Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na vitendo vya kikatili vinavyoweza kupelekea madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na mauaji na uharibifu wa miili yao. Ingawa jamii ya watu wenye ualbino imekuwa na umakini wa kimataifa, bado wanakumbana na hatari na shida kubwa, hasa katika maeneo ya vijijini. Katika hali hii, sanaa ya uimbaji imekuwa chombo muhimu cha kuelimisha jamii na kubadili mitazamo potofu kuhusu ualbino, ikichochea mabadiliko katika matendo na hisia za jamii kuhusu watu hawa.…

1 Safari ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar 9:21
9:21
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:21
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.

1 Tanzania: Kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa 9:44
9:44
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:44
Wiki hii tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (UVIDA)

1 Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.…

1 Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo ibuka vita vya majimaji mara hii ikiwa ni kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya Majimaji. Vita vya Majimaji vilipata mizizi yake katika eneo la Nandete Kipatimu, ambapo jamii za Matumbi zilijitokeza kwa ujasiri dhidi ya ukandamizaji wa kikoloni. Roho hii ya upinzani ilichochea moto ulioenea hadi katika eneo la Ruvuma, ambapo watu wa huko, wakichochewa na ujasiri wa majirani zao, walianza kuungana katika mapambano yao wenyewe. Wao pia waliharibu barabara walizolazimishwa kujenga, wakigeuza mandhari ya ukandamizaji kuwa uwanja wa vita kwa ajili ya uhuru. Uasi huu wa pamoja ulionyesha azma inayokua miongoni mwa jamii za kupambana na ukweli mgumu wa utawala wa Kijerumani na kudai heshima yao.…

1 Wiki ya vijana ilivyoaadhimishwa mjini Mwanza nchini Tanzania 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Tunaangazia jinsi vijana wanavyoweza kutumia fursa za kidijitali katika kukuza na kuimarisha shughuli zao za kiuchumi mjini Mwanza nchini Tanzania.

1 Tanzania: Mradi wa Jenga Kesho Bora ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Namna Mradi wa Jenga Kesho Bora (BBT), unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo nchini Tanzania ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria.

1 Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya lugha ya alama 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Jamii imetakiwa kujifunza lugha ya alama ilikuweza kuwasiliana vyema na watu wanaoishi na ulemavu wa kusikia.
A
Afrika Ya Mashariki

1 EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana 9:56
9:56
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:56
Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa Maisha kutokana na kukosa ajira.
A
Afrika Ya Mashariki

1 Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya nchi washiriki nahata kuvuka mipaka ya kufikia juuiya nyingine kwama vile SADC, AGOA,na EBA
A
Afrika Ya Mashariki

1 EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
A
Afrika Ya Mashariki

1 Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi…
A
Afrika Ya Mashariki

1 Hofu kwa wavuvi wa biashara ya samaki Ziwa Victoria nchini Tanzania 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruhusiwi kujishughulisha na shughuli za uvuvi kwa siku 10, ikiwa na maana kwamba katika kipindi cha mwaka mzima, Ziwa hilo linafungwa kwa siku 120, sawa na Robo mwaka yaani miezi minne…
A
Afrika Ya Mashariki

1 Shughuli za uvuvi zarejelewa katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma zilifungwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Mei 15 hadi Agosti 15, mwaka huu lengo likiwa ni kupumzisha ziwa hilo, ili kuchagiza ongezeko la Samaki Kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Zambia, Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)…
A
Afrika Ya Mashariki

1 Namna siku ya vijana ilivyoadhimishwa katika nchi za Afrika Mashariki 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Siku ya Vijana Ulimwenguni, ambayo huadhimishwa tarehe 12 Agosti kila mwaka, ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka wa 1999 kupitia maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Lengo kuu la siku hii ni kutambua mchango wa vijana katika jamii, kuhamasisha ushirikiano na kuunga mkono haki za vijana, na kuonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuchangia maendeleo endelevu na amani duniani…
A
Afrika Ya Mashariki

1 Uchaguzi wa urais uliofanyika nchini Rwanda ambapo rais Kagame alitangazwa mshindi 9:58
9:58
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:58
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama nchini Rwanda tukianga zoezi la kupiga kura lilifanyika Julai 14 na 15, 2024.
A
Afrika Ya Mashariki

1 Harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais nchini Rwanda 9:59
9:59
Spill senere
Spill senere
Lister
Lik
Likt9:59
Raia wa Rwanda ambao ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki, kwa sasa wapo katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Uchaguzi utakaofanyika Julai 15, 2024 kumchagua rais wao mpya Pamoja na wabunge Rais anayemaliza muda wake Paul Kagame anawania kwa muhula wa nne akisaka ridhaa ya Wanyarwamda kusalia katika Ikulu ya Kigali Taifa la Rwanda linalo kadilikuwa na jumla ya wakazi 14,410,469 kati yao ni Wanyarwanda takribani milioni 9 wameandikishwa katika daftari la mpiga kura kushiriki katika uchaguzi Urais, Jambo lenye sura mpya kwa sasa ni kwa mara ya kwanza uchaguzi huo utafanyika sambamba na ule wa bunge.…
Velkommen til Player FM!
Player FM scanner netter for høykvalitets podcaster som du kan nyte nå. Det er den beste podcastappen og fungerer på Android, iPhone og internett. Registrer deg for å synkronisere abonnement på flere enheter.